Lenrie Olatokunbo Aina


Uchangiaji katika miradi ya Wikimedia

Article Images

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Content deleted Content added


Pitio la 16:25, 16 Aprili 2024

'

Lenrie Olatokunbo

Lenrie Olatokunbo Aina Olatokunbo

Amezaliwa20 Disemba 1950)
Kazi yakeMWanasayansi

Tafsiri: Lenrie Olatokunbo Aina (alizaliwa tarehe 20 Disemba 1950) ni Profesa wa Sayansi ya Maktaba na Habari, na alikuwa Mkurugenzi wa Maktaba ya Kitaifa ya Nigeria (NLN) Abuja.[1]

Elimuyake

Profesa Aina alipata shahada ya kwanza katika kemia kutoka Chuo Kikuu cha Lagos, mwaka wa 1974; Cheti cha Shahada ya Uzamili katika Maktaba, kutoka Chuo Kikuu cha Ibadan, mwaka wa 1976 na M.Phil. Sayansi ya Habari, Chuo Kikuu cha Mji, London, 1980. Mwaka wa 1986, alipata Shahada ya Uzamili katika Masomo ya Maktaba, kutoka Chuo Kikuu cha Ibadan, Ibadan.[2][3]

Marejeo

  1. "After one year on this job, I was offered N200m Abuja land - Prof. Aina, CEO, National Library". Punch Newspapers (kwa American English). 2018-10-28. Iliwekwa mnamo 2022-11-29.
  2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named :0
  3. "Lenrie Olatokunbo Aina | IGI Global". www.igi-global.com. Iliwekwa mnamo 2022-04-11.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lenrie Olatokunbo Aina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.