Recessional (shairi)


Uchangiaji katika miradi ya Wikimedia

Article Images

"Recessional" ni shairi lililoandikwa na Rudyard Kipling. Lilitungwa kwa ajili ya Jubilee ya Almasi ya Malkia Victoria mnamo mwaka 1897.[1]

Malkia Victoria mwaka 1897 hivi
  1. https://www.kiplingsociety.co.uk/readers-guide/rg_recess1.htm
  Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Recessional (shairi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.