Vincent R. Capodanno


Uchangiaji katika miradi ya Wikimedia

Article Images

Mpokeaji wa Medali ya Heshima ya Jeshi la Wanamaji la Marekani

Vincent Robert Capodanno Jr., M.M. (13 Februari 19294 Septemba 1967) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na Mmisionari wa Maryknoll aliyeuawa vitani wakati akihudumia kama mchungaji wa Jeshi la majini katika Vita vya Vietnam.[1]

Vincent R. Capodanno.

Alipewa heshima ya kijeshi ya juu zaidi nchini Marekani, Medali ya Heshima, baada ya kifo chake kwa matendo ya kishujaa yaliyopita mipaka ya majukumu yake.

Kanisa Katoliki limemtangaza kuwa Mtumishi wa Mungu, hatua ya kwanza kati ya nne zinazoweza kupelekea atangazwe mtakatifu.[2]

  1. Mode (2000). The Grunt Padre. ku. 124–126.
  2. "Father Capodanno Biography". Archdiocese for the Military Services, USA. 21 Aprili 2016. Iliwekwa mnamo Mei 22, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.